Staa wa muziki kutoka Nigeria Chike ,alielezea kwa katika mahusiano anapendelea kuwa na wanawake wenye umri mkubwa kuliko wanawake wenye umri mdogo.
Mkali huyo ameeleza kuwa anapenda wanawake wa aina hiyo kwa sababu, wana uzoefu wa mambo mengi na ni bora katika mawasiliano.
Chike amefunguka hayo katika kipindi cha hivi karibuni cha Unpack Podcast kilichoandaliwa na NAY.
“Wengi hawawezi kuwasiliana vizuri, fikiria ninakuwa na binti wa miaka 23, atafanya nini? Ataelewa nini,” ameongea mkali huyo