Chande aamishwa TTCL apelewa Postamasta

Zikiwa zimepita siku mbili tangu ateuliwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Maharage Chande ameteuliwa kuwa Postamasta Mkuu katika Shirika la Posta Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *