CHALAMILA AUVAA UANACHAMA YANGA SC, ARIDHIA KUITWA SHALULILE

Mgeni Rasmi wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Yanga SC, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameridhia kuitwa jina la mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Peter Shalulile na kuomba rasmi kuwa mwanachama wa klabu hiyo.

RC Chalamila amekubali jina hilo hii leo Agosti 2, 2026 jijini Dar es Salaam na kubainisha kwamba yupo tayari kukamilisha taratibu zote za usajili, ili Mwanachama wa Klabu hiyonya soka ya Jangwani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila.

Amesema, “nimevutiwa sana kuitwa Shalulile. Nafikiri ni moja ya sababu ambazo zimefanya leo nichague kuwa mwanachama wa klabu hii. Ni heshimu kubwa kwa taifa kuwa mchezaji kama Shalulile.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *