Chagua hela sio chakula…

Unakumbuka wiki iliyopita ambapo rapa Jay Z, alionekana kama amemaindi baada ya shabiki kukata chakula cha usiku pamoja na yeye, na kuchagua $500,000 sawa na na Bilioni 1,250,000,000.00 za Kibongo.

REUTERS/Mario Anzuoni

Sasa katika mahojiano aliyofanya na na Gayle King kupitia ‘CBS Mornings’, Jay Z amesema alichokifanya mchizi ni kitu kizuri kuchagua mpunga!!. Licha ya Mtangazaji kudai endapo mshikaji angekubali chakula hicho basi watu wanaamini angepata michongo mingi, Jay Z akasisitiza ni bora pesa kwani atanunua albamu yake na atasikiliza muziki wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *