Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

CEO wa Ihefu afungasha virago

Uongozi wa timu ya Ihefu Sc imetangaza kufikia makubaliano ya pande mbili ya kusitisha Mkataba wa kazi na Aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu Ndugu. Biko Mangasini Scanda

Biko alitangazwa kuwa CEO wa klabu hiyo Novemba 22, 2023 ambapo ni sawa na kufanya kazi Mwezi mmoja na Wiki moja na siku tano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *