CCM YASOGEZA RATIBA MCHAKATO WA NDANI KUWAPATA WAGOMBEA

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kufanya marekebisho juu ya ratiba yamchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Balozi Emmanuel Nchimbi imeeleza kuwa sasa mchakato huo utaanza rasmi tarehe 28 Juni 28, 2025 na kukamilika Julai 2, 2025 kwa kufuata utaratibu uliotangazwa awali Aprili 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *