Carlo Ancelotti ndiye meneja wa kwanza katika historia ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya kutwaa kombe hilo mara tano.
๐ 2003
๐ 2007
๐ 2014
๐ 2022
๐ 2024
Waakati mambo yakiwa hivyo kwa Ancelotti,Real Madrid wameshinda mataji mengi ya Kombe la Ulaya/Ligi ya Mabingwa yaliyoandaliwa kwa uratibu wa UEFA kuliko
โ Timu za Italia zikiungana pamoja ambazo jumala zimetwaa mara (12)
โ Timu za Ujerumani ambazo kwa pamoja zimetwaa mara (8)
โ Timu kutoka Uholanzi (6) na Portgual (6) ambazo zote kwa kwa pamoja zimetwaa mara sita sita kila moja