Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Calm Down ni balaa

Rema na Selana Gomez , wanaendelea kutisha kwa kunyakuwa tuzo ya Billboard Music Award, kupitia ngoma yao ya Calm Down.

Wawili hao wameshinda kipengele cha Top Afrobeats Song, Usiku wa kumkia leo kwenye tuzo za Billboard Music Award.

Tuzo hiyo ilikuwa ikiwaniwa na Ayra Starr, “Rush”, Libianca, “People”, Oxlade, “KU LO SA” na Victony, Rema, & Tempoe ft. Don Toliver, “Soweto”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *