Burna Boy na Tems watasikika kwa DJ Khaled

DJ Khaled ameweka wazi kuwa albamu yake ijayo ya ‘Til Next Time,’ itakayotoka 2024 basi atahakikisha anamtumia Burna Boy na Tems.

DJ Khaled amefunguka hayo kwenye mahojiano aliyofanya na Rolling Stone, ambapo pia alisema muziki wa sasa wa Afro Beat unamvutia kino noma hivyo sio dhambi kusema wasanii hao watahusika kwenye albamu yake ya 14.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *