Burna Boy atamatisha ziara yake

Ziara ya Love Damini ya msanii imetamatika huku akiwashukuru mashabiki zake.

Ziara hii ilianza Julai 17, 2022 huku ikipita maeneo mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *