Burna Boy ashika nafasi ya Dimaond Platnumz YouTube

Burna Boy anashika nafasi ya juu Barani Afrika kwa sasa! upande wa Youtube kwa kuwa na wasikilizaji wengi tangu alipoifungua rasmi akaunti yake ya Youtube mwaka 2018, Januari 18.

Nafasi ya kuongoza ya kuwa na wasikilizaji/watazamaji ilikuwa ikishikwa na Diamond Platnumz ambaye alifungua chaneli yake Juni 12, 2011.

Hata hivyo Diamond anashikiria rekodi nyingine kwa Burna Boy, ambayo ni kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao huo ambapo watu Milioni 7.69 wanamtazama huku Africa Giant ana watu Mil 4.12.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *