Staa wa muziki Burna Boy ana jeuri ya pesa kwa kuumaliza mwaka 2023 kwa kununua na kuongeza ndinga mpya aina ya Ferrari 812 GTS ambayo inauzwa kiasi cha Dola 700,000 ambayo ni sawa na zaidi ya TZS Bilioni 1.75.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz