Burna Boy anazidi kuvimba huko majuu

Usiku wa kumkia leo staa wa Muziki, kutoka Nigeria Burna Boy ameibuka kidedea katika tuzo za Billboard Music Awards (BBMA) kama Top Afrobeat’s Artist.

Burna amewaburuza mastaa wengine kama Libianca,Rema, Tems na Wizkid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *