Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wakutegemewa kabisa na klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomez Barossa baada ya kutangaza kuchana na klabu hiyo wiki iliyopita rasmi amejiunga na Klabu ya Athletic Club Futbol inayoshiriki Ligi daraja la nne nchini Brazil.
Bruno Gomez alivunja Mkataba na Singida FG mwanzoni mwa wiki hii na sasa nakipika huko kwao.



