Boy Spyce, anatamani kumuoa Billie Eilish

Staa wa muziki kutoka Nigeri, Boy Spyce, ameeleza nia yake ya kutaka kumuoa  mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish.

Mkali huyo kutoka Mavin Records amefunguka hayo kupitia Beat 99.9 FM, Lagos, ambapo alisema “ Nampenda Billie… kama nitakuja kuoa basi nitamuoa yeye,” pia natamani kufanya naye kazi.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *