Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Boniphance ahumiwa viboko kwa kubaka

Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, adhabu ya kuchapwa viboko Nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha.

Aidha Mshitakiwa huyo ametakiwa kumlipa Mwathirika kiasi cha Sh. 300,000 (Laki tatu) kama fidia kutokana na kitendo alichomfanyia.

Hakimu wa Mahakama hiyo Robert Kaanwa, ameamuru Mshitakiwa kupimwa kwanza Afya yake na Daktari kama anaweza kuhimili adhabu hiyo ya viboko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *