BODI YA ITHIBATI YAONGEZA MUDA WA USAJILI KWA WANAHABARI

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeongeza muda wa usajili kupitia
Mfumo wa TAI-Habari hadi Juni 28, 2025.

Uongezwaji wa muda huo, unalenga kuwawezesha Waandishi wa Habari
waliokamilisha usajili lakini bado hawajalipia ada ya Ithibati kufanya hivyo, pamoja na kuwapa fursa wale ambao wameanza usajili na hawajakamilisha kumalizia usajili kupitia kiunganishi cha https://taihabari.jab.go.tz.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *