Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Bobi Wine akamatwa na polisi

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe alipokuwa akirejea kutoka nje ya nchi leo.

‘’Amechukuliwa akiwa bado kwenye ndege na kupelekwa katika maeneo yasiojulikana. Hadi muda huu hatujui yuko wapi,’’ amesema Katibu Mkuu wa chama cha NUP David Lewis Rubongonya mbele ya waandishi wa habari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *