Billnass amkaribisha Marioo Ulimwengu wa Wazazi

Staa wa muziki BillNass amewakaribisha mshikaji wake Marioo na mpenzi wake Paula katika ulimwengu wa wazazi.


BillNass ambaye ni baba wa mtoto mmoja na mkwewe Nandy ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongofleva ametumia Instastory wake kuwakaribisha wawili hao kwenye ulimwengu huo.


Bill Nass na Marioo wanangoma ya pamoja iitwayo Maokoto, ambayo ilitoka miezi saba iliyopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *