Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Bila taulo, bila Bleach Simba agawana point na ASEC

Klabu ya Simba sc imepata suluhu ugenini dhidi ya ASEC Mimosas nakufikisha alama 6 kwenye nafasi ya pili nyuma ya Mimosas wenye alama 11.

Simba anatakiwa kushinda mchezo wake wa mwisho kwenye kundi B dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C ambao utachezwa tarehe 2 Machi ili kujihakikishia kucheza Robo Fainali msimu huu.

FT | ASEC Mimosas 0-0 Simba SC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *