Msanii aliyekuwa anaunda kundi la muziki la Sauti Sol nchini Kenya, Bien Aime Baraza amepata ajali ya gari na kunusurika nchini Kenya.Msanii huyo ametoa taarifa ya ajali hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa instagram huku akidai ametoka salama.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz