Benki kuu ya Tanzania kwenye tovuti yao wametoa viwangi vya kubadilishia fedha kwa dola ya Marekani, Pound ya Uingereza, Euro, China na Japan. Huku dola ikiuzwa kwa Shilingi 2,317.66 na ikinunuliwa kwa Shilingi 2,294.7139.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz