Kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ni miongoni mwa makocha watatu Bora Afrika ambao wapo kwenye Orodha ya kuwania tuzo za CAF kwa mwaka wa 2022/2023.
Klaba ya kutua Msimbazi Kocha, Benchikha alikuwa katika timu ya USM Alger ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kwa kushinda Kombe la Shirikisho la Super Cup.