Benchi la Singida FG lavunjwa

Uongozi wa timu ya Soka ya Singida Fountain Gate imetangaza kuvunja benchi lote la Ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Thabo Senong kufuatia mfululizo wa matokeo mabaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *