Bellingham:Sisi ni Real Madrid

Manchester City wameshinda mataji matatu watu wanadhani wao ni timu pendwa (favorite) lakini sisi ni Real Madrid, tuna wachezaji wazuri na tunajiamini.”

“Tunafuraha sana kwa mchezo wa kesho. Siwezi kusubiri kucheza mechi hiyo. Mechi kama hizi ndio mechi zetu Real Madrid.”

Jude Bellingham Kiungo wa Real Madrid akielezea maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi ya Manchester city pale dimba la Etihad.

Katika Mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa nchini Hispania timu hizo zilizoka sare ya kufungana magoli 3-3.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *