Staa wa muziki, Beka Flavour amefuta picha kwenye ukurasa wa Instagram na kubakisha picha moja tu ambayo yupo na familia yake, Na muda mchache aliweka wazi hisia zake na kutaka kurudiana na mama watoto wake kwa mwaka 2024 kwani 2023 ilikuwa mwaka mgumu kwake kwenye mahusnaino.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz