Bei ya mkob ahuu sawa na kuwa na boda boda 2 au 3

Mke wa Billnas, Nandy ambaye pia anafanya muziki wa Bongo Flava, wiki hii ameshare video akiwa na binti yake Naya ambaye wapo wote Afrika Kusini kwa sasa.



Ila Nady katika post alizoweka mtandaoni ameweka akiwa amebeba bag ya Gucci Savoy Medium Bowling Bag ambayo inauzwa kiasi cha $2,490/- katika mtandao wa Gucci wenyewe na gharama hizo kibongo bongo ni kama sawa na tsh/=6,249,902.49


Kwa bei hiyo ya bag tu kibongo bongo unaweza kupata gari used au piki piki zake mbili na chenji inarudi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *