Baraza la sanaa Taifa, BASATA wamempiga faini ya Milioni tatu msanii wa muziki Madee kwa kuchapisha wimbo unaokiuka maadili ya BASATA ya mwaka 2018.
Mbali na Madee, pia BASATA wamempiga faini ya Milioni moja Producer wa ngoma hiyo Mr. T Touch na pia mtu wa Digital aliyehusika kuupandisha amepigwa faini.
BASATA pia imemtaka Madee kufuta wimbo huyo katika mitandao.