Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Bando atia neno Sikukuu Jamukaya

Rapa kutoka Shy Town Bando amefunguka moja ya shoo kali aliopiga mwaka huu ni Sikukuu Jamukaya iliyofanyika Juni 10, katika viwaja ya Shy Com.

Shoo hii ipo chini ya sisi Jambo Media na inafanyika kila mwaka mwezi Mei-Juni mwanzoni. Na mwaka huu iliwakutanisha kwenye steji wasanii kama Young Lunya, Dullah Makabila, Rapcha, Jay Melody, Nacha, Best Nasso na Mama Ushauri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *