Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Baba Mzazi wa Mohbad aomba radhi

Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni kwa lugah ya ki-Yoruba Baba mzazi wa Mohbad, Joseph Aloba ameomba radhi kwa kumzika mtoto wake haraka . Ambapo amebainisha alifanya hivyo kwa kuwa hakupataa nafasi katika chumba cha kuhifadhia maiti.

“Mwanangu alifariki saa tatu usiku hakuna aliyenipigia simu kunipatia taarifa. Hata baada ya kupata taarifa tulinyimwa taarifa za polisi kituoni,hata hivyo tulijaribu kumpeleka chumba cha kuhifadhia maiti lakini hapakuwa na nafasi, sikuweza kumtazama ndani ya nyumba, mwanangu ilihali alikuwa amekufa nilishindwa” alisema baba yake Mohbad.

Mzee Aloba aakaongeza “ilibidi nimzike tu mwanagu, Wanaijeria wanisamehe niliwakosea, hakuna anayempenda kama mimi,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *