Baba Mohbad atangaza kuachia albamu yake

Baba Mzazi wa msanii wa muziki Mohbad, Apostle Oluwabamiwo Aloba AKA Omo Jesu ametangaza kuachia albamu yake ya muziki wa Injili iitwayo ‘Itunu’ yenye maana ya Faraja.

Mzee Omo ametangaza habari hiyo hivi karibuni ikiwa ni miezi kadhaa tangu kijana wake Mohbad afariki dunia mnamo Septemba 12,2023 huku kifo chake kikiwa kimegubikwa na utata.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *