Baba Levo Apigwa na Mkewe

Mtangazaji na msanii wa muziki Baba Levo, ameweka wazi kupokea kichapo kutoka kwa mkewe Salma.

Baba Levo amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram kwa kuandika โ€œMAMA RUBY AMENIPIGA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™๐Ÿผ.โ€

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *