BAADA YA KUWAFUNGA TP MAZEMBE, RAIS SAMIA AWAANDIKIA ‘UJUMBE’ YANGA…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza timu ya Yanga baada ya kushinda mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika walipokua wanacheza na timu ya TP Mazembe kutoka Nchini Kongo.

Rais samia ameandika ‘Hongera kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Nawatakia kila la kheri katika michezo iliyosalia kwenye mashindano haya. Endeleeni kutupa burudani na kufanya kazi njema ya kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa’. – Rais Samia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *