Baada ya dau zito la polisi mshitakiwa ajipeleka mwenyewe kituoni

Jeshi la Polisi Jimbo la Lagos limethibitisha kuwa Owodunni Ibrahim maarufu Primeboy yuko kizuizini kwa sasa.

Afisa wa Mahusiano ya Umma wa Polisi hilo mjini Lagos, DSP Benjamin Hundeyin, amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter (X ) leo hii

Kabla ya kujisalimisha Polisi walitangaza dau nono la Tsh/=Milioni 3.2 kwa atakayeweza kusaidia kupatikana na mshikaji huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *