Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Azawadiwa BWM kwa kuzaa tu!

Hii ni hapa 255, ambapo aliyekuwa Miss Tanzania 2012 Brigitte aAlfred amenunuliwa gari aina ya BMW na Mume wake baada ya kujifungua mtoto mwingine.

Mrembo huyo alifunga ndoa na mpenzi wake mnamo 10.12.2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *