Klabu ya soka ya Azam FC wameanza kushusha vyuma vyao katika dirisha dogo la usajili kwa kufanikiwa kunasa saini ya Straika mpya ambaye ni Raia wa Colombia Franklin Navarro(24).
Mpaka sasa Azam FC inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa kuwa na alama 31 kwenye mechi 13 ambazo imecheza.