Malkia wa upishi kutoka nchini Nigeria, Hilda Baci amevuliwa ufalme kwenye sekta ya kupika misosi kwa muda mrefu ambapo mpishi kutoka Ireland, Bwana, Alan Fisher amevunja rekodi kwa kutumia muda wa saa 119 na dakika 57 kwenye mgahawa wake huko Japan kupika misosi.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz