Aubin Kramo amefanyiwa upasuaji wa goti

Nyota wa Simba, Aubin Kramo amefanyiwa upasuaji wa goti katika Hospitali ya El Yosr Internationale Sousse nchini Tunisia.

Nyota huyo wa @simbasctanzania alipata majeraha ya goti kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC, Septemba 11, mchezo ambao Simba waliibuka na ushindi wa mabao 6-0



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *