Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Asake anataka kolabo na Kanye West

Supa staa wa Nigeria Asake, amesema moja ya ndoto yake ni kufanya kazi na rapa Kanye West, amesema hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Billboard News.

 “Sisemi siwezi kufanya muziki na watu wengine lakini napenda nguvu yangu ya kweli, nahitaji kumpenda mtu ninayetaka kufanya naye kazi kwanza ili isiwe shida kwangu. Nimekuwa nikisema jambo hili tangu muda mrefu  labda Mungu atafanya kweli…Ninapenda kufanya kazi na Kanye West”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *