Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Asake alisugua benchi miaka miwili 2020 YBNL

Staa wa muziki kutoka Nigeria  Asake, amefunguka kuwa  mwaka 2020 alimbembeleza Olamide amsaini lebo yake ya YBNL Nation.

Ila siku moja Olamide alimualika Asake nyumbani kwake na kumuuliza kama angetaka kujiunga na lebo hiyo, ila akamweleza kuwa kuna masharti ya mkataba  hivyo atafute wakili, kwaza kabla ya kusaini.

Akiongea kwenye mahojiano na Hip TV, Asake alisema, “Kabla [Olamide] hajanisaini, nimekuwa nikimwomba anisaini tangu 2020 anisajili, ila Siku moja, nilifika nyumbani kwake, kisha akaniuliza …kama nataka kusainiwa na lebo yake… kisha akanipa mkataba na akaniambia kuna mashariti inabidi nitafute wakili wa kunisaidia kujua vifungu vya mashariti kwanza.”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *