Asake akiri kutumia jina la Mama yake

Kijana Ahmed Ololade maarufu kama Asake ametaja sababu ya kitumia jina la mama yake mzazi Asake kama jina lake la kisanii  na kusema kuwa tangu kwenye vikundi vya  ngoma za asili kwao! walikuwa wakimuita ‘Omo Asake’ ikimaanisha Mtoto wa Asake hivyo alivyoingia kwenye game akaona atambae nalo tu. Asake amesema hayo kupitia Pause Magazine’s Autumn 2023 edition.

Mbali na jina staa huyo pia amebainisha kuwa hatoacha kuimba kwa lugha ya Yoruba, kwa kuwa hana cha kupoteza na aina hiyo ya muziki imemtoa mbali hivyo ni ngumu kwake kuiacha kwa urahisi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *