Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Amuua mama yake ale tunda na Baba yake

Binti mmoja huko nchini India, anatumikia kifungo cha watoto baada ya kupatikana na hatiya ya kumuua mama yake mzazi, ili aweze kuwa na mahusiano na baba yake wa kambo.

 “Mpenzi wa mama yangu ni mkubwa kwangu mara mbili kiumri. Lakini, nilimpenda. Siku moja mama yangu alitufuma. Ndiyo sababu niliamua kumuua mama yangu, kwani alikuwa kikwazo kwa mapenzi yetu,” anasimulia binti huyo kupitia BBC.

Kwa sasa binti huyu, baba yake wa kambo na mtu mwingine wanatumikia kifungo baada ya kupatikana na hatiya ya mauaji ya mwanamke huyo. Inaelezwa walimuua na mwili wake ukatupwa baharini karibu na kijiji cha Hamir More huko Kutch.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *