Siku ya jana Jumatano huko Las Vegas, Jaji Mary Kay Holthus alijikuta akishushiwa kipigo na mshtakiwa, atwaye Deobra Redden (30), wakati akisomewa hukumu yake.