Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Amini kwenye ndoto za mwenza wako

Bilionea wa mitandao ya kijamii kama,:- Facebook, WhatsApp, Instagram na Threads, ndugu Mark Zuckerberg ameshare picha aliyopiga kwa mara ya kwanza na mkewe Priscilla Chan kabla ya kuanzisha mtandao wa Facebook.

“Miaka 20 iliyopita nilitoka Out na bibiye ambaye kwa mara ya kwanza tulikutana kwenye sherehe ambayo niliandaliwa na Rafiki zangu ambao walijua muda si mrefu nitaondoka chuoni baada ya kufukuzwa, Nilimuomba Prisca tutoke na tuzungumze kwani nilikuwa sina siku nyingi chuoni hapo ndiyo bibiye akakubali na tukakutana kwenye mgahawa mmoja hivi na hatimaye leo ni stori kwani tumeanzisha familia na tumefanikiwa kupata watoto wakike watatu,” ameandika Zuck

Sasa ile kauli ya baby kuna ‘Mchongo nausikilizia” iaminiwe jamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *