Msanii wa hip hop wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amesema muziki wa Amapiano kutoka Afrika Kusini ndio muziki unaokuwa kwa kasi kwa sasa kuliko Afrobeat kutoka Nigeria.
Amesema hayo kupitia mahojiano na Beats N Sounds, huku akibainisha kujivunia aina ya muziki huo uliotokea Afrika Kusini