Muigizaji wa Filamu kutoka Nchini, Nigeria Amaechi Muonagor amejitokeza hadharani kuaomba fedha kwa ajili ya kupandikiza figo.
Muonagor ametoa ombi hilo kwa mashabiki zake na Wanigeria kumsadia msaada wa kifedha kwa ajili ya upandikizaji wa figo yake nchini India.
Video ya nguli huyo wa filamu imeonekana ikisambaa katika mtandao wa X, ambapo muigizaji huyo akiomba msaada .