Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Aliyemuuzia Gari Burna Boy kwaajili ya EX- wake atoa neno

Mshikaji anaitwa Anani Bertin, amethibitisha kuwa ni kweli Burna Boy amenunua gari aina ya Rolls Royce Cullinan kama zawadi ya kumbukizi ya kuzaliwa aliyekuwa mpenzi wake, Stefflon Don.

Bertin ameshibitisha kupitia Instagram story yake kwa kuweka video ya mrembo huyo akiwa anaendesha gari hiyo na kuandika “ Usiulize we amini tu”.

Swali ni je unaweza mnunulia zawadi Ex- Wako na ukampatia?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *