Aliyemuua George, Achomwa kisu gerezani

Aliyekuwa afisa wa polisi Minneapolis, Derek Chauvin ambaye mwaka 2020 alipatikana na hatia ya kumuua George Floyd, amechomwa kisu na mfungwa mwezake katika gereza la huko Arizona siku ya Ijumaa (Jana) ambapo amejeruhiwa vibaya.

Mtu huyo alitetenda kosa mapaka sasa hajawekwa wazi nani hasa na Ofisi ya Magereza ilithibitisha kuwa mfungwa alivamiwa huko FCI Tucson majira ya Saa 12:30 p.m.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *