Chama cha Kitaifa cha Wauguzi na Wakunga-Nigeria, kupitia Baraza la Jimbo la Lagos, leo hii wametoa taarifa kuwa mtu aliyeripotiwa kukamatwa kwa kumdunga sindano marehemu Mohbad si muuguzi aliyesajiliwa.
Chama hicho kimesema hayo kupitia vyombo vya habari, leo katika mkutano wao.
