Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Alikiba kufanya shoo yake ya Miaka 20

Staa wa muziki na CEO wa King Music, Alikiba mbioni kufanya shoo yake ya kutimiza maika 20 ya muziki wake.

Alikiba ametoa taarifa hiyo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

Mwaka 2023 staa wa muziki Aslay alifanya miaka 10 ya Aslay ambapo alikuwa akifikisha miaka 10 kwenye muziki wa Bongo Flava.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *